cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Hao wapigaji wamelaaniwa milele yote!Lilikuwa pango la mafisadi na wakwepa kodi. Matukio yanayoendelea ni upigaji uliopita watu hata pesa walishakula. Haiwezekani vichwa vitano vya treni vikose mwenyewe. Vimesafirishwaje na kushushwaje bila makaratasi ya mmiliki? Viinimacho vya Bongo!
Burritos!Tacos
MaharageMihogo ya kukaanga
la makinikia!Kontena
IndeedUwanja wa like ni tambalale
Sress free zone
Duh!Muharo
Hahahahala makinikia!
Upo mkuu, niaje?
PreciselyFreeeeeeeeeeeeeeeee
Kwema bageshi. Ng'hwani huko wanasemaje?Kaka kwema...
HutPizza