Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi nimepitia vichwa tu. Habari inayobamba ni vichwa vya treni vilivyotelekezwa bandarini. Mafisadi naona walishapiga pesa ndefu sasa wanaogopa hata kuyachukua kwa sababu upepo wa sasa si rafiki kabisa kwa upigaji.

Atawapata tu, tayari atakuwa anawajua... wasipotenda atawatumbua tu

Na wale wa mizigonya transit anajua kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…