Kwa mujibu wa Mkaguzi wa Dawa na Mfamasia wa Manispaa ya Dodoma Daria Mwanuka anasema hivi sasa kumekuwa na sabuni mbalimbali ambapo wanaoziuza wanadai zimekuwa zikisababisha bikira iliyopotea kurudi kitu ambacho si kweli.
Mtaalam huyo Anasema Sabuni hizo zinapunguza tu majimaji yaliyo sehemu za siri za mwanamke jambo ambalo husababisha wakati wa kufanya mapenzi mwanaume kupata ugumu kwenye muingiliano kwa vile mwili unakuwa umekataliwa kutoa maji na hivyo kuleta michubuko kitu ambacho ni hatari hasa wenye maambukizi ya magonjwa.
Mtaalam huyo Anasema Sabuni hizo zinapunguza tu majimaji yaliyo sehemu za siri za mwanamke jambo ambalo husababisha wakati wa kufanya mapenzi mwanaume kupata ugumu kwenye muingiliano kwa vile mwili unakuwa umekataliwa kutoa maji na hivyo kuleta michubuko kitu ambacho ni hatari hasa wenye maambukizi ya magonjwa.
Pia michubuko inapotokea ni rahisi mwanamke kuambukizwa magonjwa ya zinaa hata virusi vya Ukimwi. Sabuni hizo zinatengeneza hali fulani ukeni lakini haiwezi kurejesha hali ya maumbile iliyopotea.
Mfamasia huyo anasema wanaotumia sabuni hizo wako katika hatari kubwa ya kuambukuzwa magonjwa na hata kupata saratanni ya shingo a usazi kwani kemikali zinazotumika katika kutengeneza sabuni hizo zina athari kubwa kiafya.
Anataka wanawake kutatambua thamani yao na kuachana na matumizi ya sabuni hizo ambazo hazina manufaa yoyote na badala yake zimekuwa na madhara makubwa kwao.
Mkaguzi wa dawa wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kanda ya Dodoma, Fredrick Luyangi anasema mrudiano wa athari hasa kwa matumizi ya sabuni huleta athari kubwa mwilini na wakati mwingine kutengeneza kansa taratibu bila mhusika kufahamu.Sabuni hizo husababisha kansa ya kizazi na kubainisha sabuni hizo licha kupigwa marufuku zimekuwa zikiuzwa kwenye maduka ya vipodozi.
Mara nyingi kwenye operesheni zinazofanyika zimekuwa zikiondolewa sokoni lakini hata hivyo zimekuwa zikiingizwa kwa wingi hali inayofanya zoezi la kudhibiti kuwa gumu” anasema.
Jamani wanawake wenzangu tubadilike Kuna wengine wameshazaa zaidi ya mara mbili lakini bado wanahangaika kurudisha maumbile yao yawe madogo na kuhangaika na kila aina ya sabuni inawezekana kweli katika hilo?
Apple moja kwa siku - hukuweka mbali na daktari.
2. Jani la mrihani (tulsi leaf) ukitumia kwa siku hukuweka mbali na saratani
3. Limao kwa siku -hukuweka mbali na unene
4. Kikombe cha maziwa kwa siku -hakuna tatizo la mifupa
5. Lita tatu za maji kwa siku- hakuna magonjwa.
Ukweli ni kuwa tende zimekuwa zikisaidia kuimarisha mfumo wa usagaji wa chakula na pia ni tiba ya wenye matatizo kwenye njia ya hewa. Pia husaidia hata wale wenye tatizo la kuongezeka uzito mara kwa mara
Pia tende zimekuwa na utajiri wa madini mwilini na pia zina vitamin A,B na C pia hazina cholesterol kama aina nyingine ya vyakula vyenye mafuta ambavyo vimekuwa vikileta athari mwilini. Pia kuna wale wanaopenda kula tende zikiwa mbichi na hata wale wanaokula tende ambazo tayari zimeongeza vikorombwezo vingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.