Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni muhimu kula tende ili kuongeza madini na vitamimi mwilini ili kuweka mwili sawa na kuondokana na matatizo mbalimbali ya kiafya.
Anataka kupambana na rais wa sasa 2020. Amepanga timu ya akina Kinana, Nape na Makamba kumuondoa Magufuli 2020. Alipiga mpunga mrefu sana kwa Ghadafi na anatajwa tajwa sana katika mambo mengi yanayoendelea...Siasa ni mchezo wa kimkakati...Nashanga imekuwa Membe kila Uzi JF,
Sijui nini kinaendelea.
Hawa ni Simba. Usigune. Wamepiga mtu tano kavu leo ...Mmmmmmmhhh
Bro bana banaaaHawa ni Simba. Usigune. Wamepiga mtu tano kavu leo ...
Siyo rahisi hivyo...Mamiili yetu haya ni mamashine changamano mno...Apple moja kwa siku - hukuweka mbali na daktari.
2. Jani la mrihani (tulsi leaf) ukitumia kwa siku hukuweka mbali na saratani
3. Limao kwa siku -hukuweka mbali na unene
4. Kikombe cha maziwa kwa siku -hakuna tatizo la mifupa
5. Lita tatu za maji kwa siku- hakuna magonjwa.
Nimekosea?Bro bana banaaa
Aisee*HAKUNA TOFAUTI KATI YA BARCELONA NA SIMBA LEO*
*Timu bora utazijua tu*
*Barcelona anaenda mapumziko akiongoza goli mbili*
*Simba anaenda mapumziko akiongoza goli mbili*
*Suarez anapiga hat trick*
*Okwi anapiga hat trick*
*Chama anapongezwa na kocha wake kwa kiwango kizuri akimbusu kichwani*
*Rakitic anapongezwa na kocha wake kwa kumbusu paji la uso*
*Vidal anaingia dk za mwisho na kukamilisha goli la tano*
*Salamba anaingia dk za mwisho na kukamilisha goli la tano*
*Simba goli tano*
*Barcelona goli tano*
*Marcelo anaomba kutoka baada ya misuli huku akilia*
*dilunga wa ruvu anaomba kutoka huku akilia*
*Timu bora duniani zinajulikana*
Toto kibongo
Mmmh,,,Ester hata kama tumefungwa ni kosa kupunguza idada ya magoli tuliyofungwaKlabu ya Barcelona imeibuka na ushindi mnono kwenye uwanja wake wa nyumbani baada ya kuishushia Real Madrid kikapu cha mabao 4-1 kwenye mchezo wa La Liga.
Mabao ya Barcelona yaliwekwa wavuni na Philippe Coutinho (11’), Luis Suares (dk 30,75,83) huku Arturo Vidal akiweka msumari wa mwisho dakika ya 87’ huku bao la Real Madrid liliwekwa wavuni na Marcelo Vieira.
Toto kibongo