Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lilikuwa pango la mafisadi na wakwepa kodi. Matukio yanayoendelea ni upigaji uliopita watu hata pesa walishakula. Haiwezekani vichwa vitano vya treni vikose mwenyewe. Vimesafirishwaje na kushushwaje bila makaratasi ya mmiliki? Viinimacho vya Bongo!
Kweli kuna michezo ming sana huko ya kifisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…