Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi why mtu akikusaidia ukainuka anataka kuwaonesha watu bila yeye usingefika ulipo?? Yaan atajitahidi naye aonekane hupo nyuma yako kakuganda kama kupe... . Ni kweli umemsaidia ndiyo, but why matangazo.. Nimemfanyia hiki na kile.. bila mimi asingefika hapo.. . Ulikua unamsaidia kwa unafki?? mwache mwenyewe atambue umuhimu wako akushukuru na kuwaambia watu. Na hata hivyo, Mungu anaona moyo wako... Kwa kumsaidia huyo myonge utabarikiwa zaidi siyo lazima mpaka ujioneshe kwamba umemfanikisha kufika alipo.. Yaani kuna watu wengine bhana utasikia "hiyo nguo aliyovaa nimemnunulia mimi, isingekuwa mimi asingepata hiyo kazi.. Hiloo gari anaendesha nilimlipia pesa bandarini ndo akalikomboa"... Ya nini yote hayo? . .
 
Siku njema huonekana asubuhi... Pia siku mbaya huanza asubuhi....ni uamuzi wako kujitengenezea siku yako vile unavyopenda iwe...tizama mikono yako, shukuru Mungu kwa siku njema, ombea ulinzi, kazi ya jasho na mikono yako...mambo yatakuwa mema tu... [HASHTAG]#AsubuhiNjema[/HASHTAG]
 
Hivi why mtu akikusaidia ukainuka anataka kuwaonesha watu bila yeye usingefika ulipo?? Yaan atajitahidi naye aonekane hupo nyuma yako kakuganda kama kupe... . Ni kweli umemsaidia ndiyo, but why matangazo.. Nimemfanyia hiki na kile.. bila mimi asingefika hapo.. . Ulikua unamsaidia kwa unafki?? mwache mwenyewe atambue umuhimu wako akushukuru na kuwaambia watu. Na hata hivyo, Mungu anaona moyo wako... Kwa kumsaidia huyo myonge utabarikiwa zaidi siyo lazima mpaka ujioneshe kwamba umemfanikisha kufika alipo.. Yaani kuna watu wengine bhana utasikia "hiyo nguo aliyovaa nimemnunulia mimi, isingekuwa mimi asingepata hiyo kazi.. Hiloo gari anaendesha nilimlipia pesa bandarini ndo akalikomboa"... Ya nini yote hayo? . .

Upungufu wa like mwilini.
 
Back
Top Bottom