Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

buzitata na Aleyn

Acheni kusambaza roho mbaya zenu za kunguni humu

Lengo la huu uzi kama hamuufahamu ni mpite hukooooo au muulize


Roho za kukosa na uroho mbays msiueneze humu

Uzi huu ni team no stress

Na ni team kusambaza upendo kwa like

Mjisikitikie ma kuondoa upupwu

Hakuna anayekula ban humu kabisaaaaa

Msituchafulie uzi wetu

Muache uvivu maisha yenu mmejitakia

Wivu.com wakubwa
kula like kwanza halafu nenda ukajifunze uandishi na kupangilia maudhui coz hueleweki unaongelea mada gani
 
Back
Top Bottom