Tushapoamnaolea nyumbani wooote poleni....
Tunaosoma ulitakiwa kutupongeza na sio kutupa polepoleni wooote mnaosoma...
Wenyewe tushaliza na kamwe hatuoni kama matesopoleni mlio kwenye daladala
AmiinaMungu atupe afya na uzima
Migomba nilitoka nayo kijijini,mbolea ni ya kienyeji kabisaView attachment 915173Daaah najua kamkungu kenyewe kabisa vingi vya mjini ni feki [emoji14]
Ni kweri ijapo Mimi sikubaliani na hilikila mtu ana umuhimu wake..
Amiinawagonjwa wote Mungu awaponye..