Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaweza kupata kucha za bandio zinazopendeza kama kucha zako taabu ni ununuzi na utunzaji wake. Kucha hizi hupatikana kwa wataalamu wa masuala ya urembo lakini nataka kusema pamoja na uzuri wa kucha hizo hauwezi kufikia kucha zako za asili. Kucha hizi bandia wakati mwingine huvuruga kabisa kucha zako za asili kwa hiyo zinahitaji uangalifu mkubwa wa kuziweka na utunzaji wake na ni vyema mtaalamu akakuelekeza.
 
Utiaji rangi nywele
KUNA fasheni mpya imeingia ya kutia rangi nywele kwa lengo la kuleta utamu fulani katika mambo ya urimbwende. Ni sehemu ya kukipa kichwa chako mvuto mpya. Pamoja na nia nzuri hiyo, akili hutibuka sana kama ulichotaka sicho ulichokipata wakati ukitia rangi. Kwenye shughuli za kutia rangi nywele, wakati mwingine unapata rangi ambayo hukuitaka kwa hiyo ni vyema kuwa mwangalifu katika hilo. Utiaji rangi nywele hautakiwi kufanywa kw akubahatisha kuna mambo unatakiwa kuzingatia
 
.Jambo la kwanza ni vyema ukaenda kwenye saluni yenye wataalamu ingawa ni rahisi kununua vifaa vya kujikoki mwenyewe. kama unataka kujitia mwenyewe la maana ni kuwa uwe na rangi moja lakini kama unataka kuwa na vitu vya kushaini hapa na pale, basi rangi za moja kwa moja kutoka dukania mb azo unaweza kujikoki hazifai, uwezekano wa kuharibu upo. Katika kujikoki mwenyewe ni vyema ukaachana na rangi nyekundu na ukajiwekea rangi ya kahawia.
 
Na hata ukiwa saluni ni vyema kuongea na msusi wako kumwambia unataka nini na hakikisha amekuelewa. Rangi nzuri za nywele zinazotokana na rangi tamu.na ninashauri uweke rangi za asili kama : chocolate, caramels, blonds, auburns. lakini nakutahadharisha usizipende reangi ambazo hazina asili kama Ariel red, blues, jet black, pink, au aqua. nilikuasa tu kwenda kuonana na mpambaji wako ili mambo yaende vyema.
 
KUNA mambo mengi yanaweza kufanywa na yai, lakini moja ambalo pengine hulijui sawasawa ni kuwa yai, laweza kukusaidia kuwa macho kwa kipindi kirefu.
Taarifa hii ambayo ipo katika mitandao nakuletea kwako ili uweze nawe kuona faida ya kujisikia freshi kwa lengo la kuachana na usingizi singizi unaokuandamana ukiwa kazini.
Wanasema wataalamu wa lishe kwamba wewe kula yai moja tu mambo yako yatakuwa safi, usingizi hautakuandamana kwa kuwa sehemu hiyo nyeupe inafanya kitu fulani kusaidia uunguzaji wa nishati.
Wanasema kuwa ile sehemu nyeupe ya yai ndiyo hasa inayofaa kukufanya kuondokana na usingizi na pia kuwa timamu.
 
Maneno haya yametokana na utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Cambridge ambao wamebaini kwamba protini ya yai ina nguvu zaidi kuliko carbohydrates zinazopatikana katika chokoleti, biskuti na peremende ambazo ndio huaminika kwa kuleta nishati
ya nguvu haraka zaidi.
 
Maneno haya yametokana na utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Cambridge ambao wamebaini kwamba protini ya yai ina nguvu zaidi kuliko carbohydrates zinazopatikana katika chokoleti, biskuti na peremende ambazo ndio huaminika kwa kuleta nishati
ya nguvu haraka zaidi.
Kwa maneno mengine watafiti wamebaini kwamba unaweza kuchagua ni ubongo gani wa sehemu gani ufanye kazi muda gani kwa kuangalia chakula unachokula.
Watafiti hao wanashauri kama kuna chaguo kati ya jam kwenye tosti pamoja na utamu wake mtu akikuwekea na sehemu nyeupe ya yai kwa tosti, kimbilia yai kwa tosti.
Pia wataalamu hao wamesema kwamba rehemu inayopatikana katika sehemu nyeupe ya yai ina msukumo mdogo sana wa kukupatia magonjwa ya moyo.
 
Hizi Ndizo Kauli Zilizotolewa na Mh Rais Magufuli ,Jana Kuhusiana na Sakata la Korosho

[emoji3591]"Serikali inaunga mkono Wakulima kugomea bei ya Korosho" - JPM

[emoji3591]"Tozo itabaki 10% kama ya awali na si hiyo mpya ya 17% iliyotangazwa na Bodi" - JPM

[emoji3591]"Serikali ipo pamoja na Wakulima" - JPM

[emoji3591]"Hatutaki wakulima wa Korosho wapunjwe" JPM

[emoji3591]"Mkitaka kuwapunja wakulima Serikali itanunua Korosho zote tena ndani ya siku mbili, kama tunajenga Stieglers Gorge, tunanunua ndege kwa nini tushindwe kununua korosho kwa maslahi ya wakulima" JPM

[emoji3591]"Serikali hii ya awamu ya tano ni ya wakulima, wavuvi, wafugaji na wanyonge wote" JPM

[emoji3591]"Hakuna mkulima atakayeuza korosho chini ya sh. 3000 kwa kilo" JPM

#Note: Sijawahi kuwa na mashaka na dhamira ya Rais Magufuli na serikali yake anayoiongoza linapokuja suala la kutetea maslahi ya wananchi
Tunaimani na mkuu
 
?utm_source=ig_share_sheet&igshid=1t6jbd359x5iu.jpg
 
Back
Top Bottom