Nasikia hii hotel ina bei mbaya hatari
Ndio naukumbuka....Mungu ni mwema..Aendelee kukuepusha na VIPORO.Chakula cha mwenzangu? Alikuwa wapi wakati mi nakila kwa mara ya kwanza?
Nakutania tu prof...Ulaji wa viporo una matatizo yake. Kuna kupata viungulia, food poisoning na hata kifo hasa kama kiporo kimeshachacha na hata kuingiliwa na sumu. Si unakumbuka ule mkasa?
Sina haja ya kupasha KIPORO/VIPORO....Ni kheri kutokukiacha chakula kiende kama naona ni kitamu na chenye ubora.Wewe hupashagi prof?
Ila kuwa kimbaumbau raha sana,mgongo unaonekana,kiuno kinaonekana daah!!Vimbaumbau Republic...
View attachment 913443
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona ulirogezewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro,,,aiseee bt hz ishu za vipole kisipopashwa vyema knaweza kukuletea madhara,,,hadi ukajuta kwann umekula kile kiporo...Ngaza hatar aiseee
Fainali uzeeni.Ni maisha yake. Mwacheni aishi anavyopenda...
Hakuna ndizi ninazozipenda kama hizi[emoji39][emoji39][emoji39]Migomba nilitoka nayo kijijini,mbolea ni ya kienyeji kabisaView attachment 915173View attachment 915174
Mfyuuu mie nilijua unaenda kuchukua nikwambie uniletee na mie[emoji23][emoji23]Daaah najua kamkungu kenyewe kabisa vingi vya mjini ni feki [emoji14]
Kama hauja enda kijijini nimpe mtu akuletee pale Chang'ombe machinjioni kwa pembeniHakuna ndizi ninazozipenda kama hizi[emoji39][emoji39][emoji39]
Uko sahihi kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Ila kuwa kimbaumbau raha sana,mgongo unaonekana,kiuno kinaonekana daah!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc. Kaisiki [emoji23][emoji23][emoji23]Kona Ya Bwiru