Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Salama andaten,,,haujambo ww??Andateni uhali gani?
Habari za majukumu huko
Salama andaten,,,haujambo ww??Andateni uhali gani?
Mbele ya kishundu kama hiki nani anune?
Jamaa baada ya kushushuliwa akaamua ku edit uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@wasukuma wanashida sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuitegemea DreamLiner, Kumeniponza!, Nimekwama Mwanza!, Najuta Kuidharau Fast Jet na Precision, Ziko Full, Nita Apply The Powers of Mind, Kurudi Dar. - JamiiForums
Amkia basi[emoji23][emoji23]Salama andaten,,,haujambo ww??
Habari za majukumu huko
Geti liko wazi,karibuUsha nitia hamu... Tukutane ofisini kwa Paul Makonda naja
Shikamoo dada carba..Amkia basi[emoji23][emoji23]
Huku alhamdulillah kwakweli,siku zinaenda
Salama andaten,,,haujambo ww??
Habari za majukumu huko
Kizazi cha "kwangwaru" mnanifurahisha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amkia basi[emoji23][emoji23]
Huku alhamdulillah kwakweli,siku zinaenda