Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mmoja huko alikuwa anabisha eti hiki ni kitabu cha darasa la kwanza huko Kenya. Nimecheka sana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 915379
Kitabu cha Juma na Roza?!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Mungu atusamehe Watanzania, wengi wetu hatuna tabia ya kujisomea.
Kitabu cha Juma na Roza, kilitungwa kwa mfumo wa kusoma kwa kuimba, kilikuwa kinasaidia kusoma kwa speed na kujenga kujiamini hata kama haujui kusoma lakini stori yote ya Juma na Roza inakuwa imeganda kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu navitafuta vitabu vya Kiingereza (cha Abdul/ language three) sivikumbuki vizuri majina yake
 
Back
Top Bottom