Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuwa kitindamimba raha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
tapatalk_1528555236894.jpeg
 
Prof sina uhakika aisee...na hana sifa kuu za uandaeitini...Kujua lugha mama na utamaduni wake kwa kina...na nyinginezo nyingi tu. Tunaweza kumtoa kwenye hiyo listi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umamtetea bro,,,anajua tips zote za kubet,,mm namuweka kwenye andaten mjanja janja
 
Back
Top Bottom