Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe umr emeenda eeh,,,nakutaman sana
Amini Mungu yupo, jenga hofu juu yake, utakuwa unatenda yanayo mpendeza. Utajikwaa mara nyingi mno, simama na uungame,utasamehewa.
Jitahidi kujitengenezea furaha mpya kila siku kwa watu tofauti,ndani ya hiyo furaha utapata makwazo, jifunze kuyatatua kwa furaha. Utaishi bila magonjwa (buladi puresha, sitiresi, na mengineyo) ya hovyo hovyo
Pamoja na yote hayo, muda wako utakapo fika "hakika utakufa" tena kwa furaha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
FB_IMG_1540761952720.jpg
 
Umeongea Bro,
 
Busara hizi maandaeitini choteni zitawasaidia sana..[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kitabu cha Juma na Roza?!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Mungu atusamehe Watanzania, wengi wetu hatuna tabia ya kujisomea.
Kitabu cha Juma na Roza, kilitungwa kwa mfumo wa kusoma kwa kuimba, kilikuwa kinasaidia kusoma kwa speed na kujenga kujiamini hata kama haujui kusoma lakini stori yote ya Juma na Roza inakuwa imeganda kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu navitafuta vitabu vya Kiingereza (cha Abdul/ language three) sivikumbuki vizuri majina yake
....Oxford English course, havipatikani kabisa labda Kenya
 
Back
Top Bottom