capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hizo ni nukuu nimezitoa mahali...[emoji23][emoji23]Kivipi mkuu
Tunafurahia uwepo wenu hapa[emoji120][emoji120]
Kutofautiana mitazamo yetu kuwe chanzo cha kutuweka pamoja. Tumekuwa ndugu sasa.
Mungu aendelee kuwabariki
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Binti wa makamo? Puliiizi. Mtakua tu. Mna haraka ya nini? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kadri ninavyo zeeka ndio nazidi kuipenda minyama ya nyuma. Najishangaa[emoji12][emoji12][emoji12][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....We mzee wewe.
Alitufunga kamba hiyo idadi ya watoto bro. Andaeitini huyo. Ila mimi simo lakini [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kishundu cha avatar ya Pyaar kinawalaza watu macho juu juu.Mbele ya kishundu kama hiki nani anune?
Hata sijui tatizo liko wapi. Hata humu wamo...
Pengine ni kwa sababu ya jiwe. Hata sielewi kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi nina wiki tatu sasa...[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kishundu cha avatar ya Pyaar kinawalaza watu macho juu juu.
Ni breakfast hii au ndo imetoka hiyo?
Ni breakfast hii au ndo imetoka hiyo?
Kadri ninavyo zeeka ndio nazidi kuipenda minyama ya nyuma. Najishangaa[emoji12][emoji12][emoji12]
SadImetoka hiyo Bro,
Sana mkuu[emoji3] [emoji3]Mkuu umevikumbuka?!!
Vitabu vilikuwa na raha yake... Hasa pale kwenye "common mistakes" na stori za Abdul [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekusoma mkuu, ingawa dini za kale za kiafrika zinaenda mbele zaidi ya hapo.Mbona hakuna cha ajabu hapo? Mara nyingi inakuwa ni stroke. Kuna utafiti mpya sikumbuki nilisoma wapi wanasema kwamba kama kuna tatizo mahali kujimwagia maji ya baridi kichwani hufanya damu nyingi itumwe kichwani kwa ghafla na kama mishipa ina tatizo huko mtu hata asipopata stroke anaweza akasisimka/akazizima akaanguka. Na kwa vile mabafu mengi yana tiles/simenti akianguka kuna uwezekano mkubwa wa kujibamiza kichwa na kuharibu ubongo (mf. Kanumba). Wanashauri sasa wagonjwa na wahenga wengi waache kuoga kwa kuanza kujimwagia maji kichwani. Wengine pia kuna kuteleza tu, kuanguka na kubamiza kichwa. Ndiyo maana inashauriwa sana mazingira ya bafuni yasiwe na utelezi hasa kama kuna wazee au wagonjwa. Hata Marekani vilema na hata vifo vingi sana vya wazee husababishwa na kuanguka mabafuni na wanashauri kuweka kinga au mazulia maalum ili kupunguza utelezi.
Siyo kila anayeanguka bafuni na kukata roho au kuparailizi huwa ametupiwa jini kama imani zetu za uchawi zinavyotuaminisha
Dini za kale zinasemaje?Nimekusoma mkuu, ingawa dini za kale za kiafrika zinaenda mbele zaidi ya hapo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wataisusia hiyo mkuuTukisema tuandae pati ya wanauzi mwishoni mwa mwaka huu mtaanza kutoa udhuru. Hapo unamkuta prof kumbe ni kiandaeitini kina 20 halafu anaibuka SYB yuko 65+...Mara Esta naye huyu hapa laivu ndiyo anagonga 21. Itafurahisha sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]