Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona hakuna cha ajabu hapo? Mara nyingi inakuwa ni stroke. Kuna utafiti mpya sikumbuki nilisoma wapi wanasema kwamba kama kuna tatizo mahali kujimwagia maji ya baridi kichwani hufanya damu nyingi itumwe kichwani kwa ghafla na kama mishipa ina tatizo huko mtu hata asipopata stroke anaweza akasisimka/akazizima akaanguka. Na kwa vile mabafu mengi yana tiles/simenti akianguka kuna uwezekano mkubwa wa kujibamiza kichwa na kuharibu ubongo (mf. Kanumba). Wanashauri sasa wagonjwa na wahenga wengi waache kuoga kwa kuanza kujimwagia maji kichwani. Wengine pia kuna kuteleza tu, kuanguka na kubamiza kichwa. Ndiyo maana inashauriwa sana mazingira ya bafuni yasiwe na utelezi hasa kama kuna wazee au wagonjwa. Hata Marekani vilema na hata vifo vingi sana vya wazee husababishwa na kuanguka mabafuni na wanashauri kuweka kinga au mazulia maalum ili kupunguza utelezi.

Siyo kila anayeanguka bafuni na kukata roho au kuparailizi huwa ametupiwa jini kama imani zetu za uchawi zinavyotuaminisha
Aisee,,,nmepata shule nzur sana leo,,uzi huu uwe na maisha marefu,kupitia hapa tunapata darasa km hl,tunafurahi pamoja

Shukran bro.
 
Waafrika wengi wana/tunaamini kwenye sayansi ya asili.
Kama alivyosema SYB wagonjwa wengi wanaoanguka chooni huwa ni BP ndo inasumbua mwisho wa siku unapigwa stroke unadondoka.
Wengi wao baada ya kudondoka ukicheki presha zao huwa juu.
Shida hatuna utaratibu wa kupima afya zetu mara kwa mara.

Dada Nakubaliana nawe bila kuacha chembe ya shaka, ila sisi wafrika tunapenda sana kutishana. Pumbavu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna Sangoma mmoja aliwahi sema kwamba pale chooni hupelekwa kiumbe cha kutisha, mwili wa binadamu miguu mnyama, macho na mdomo kama wa tai.
aliyelengwa akiona tu anashtuka na kuanguka, akadai anguko lake linaenda sambamba na kupasuka mishipa ya damu kichwani kwakuwa tu mshtuko ni mkubwa. Akasema mgonjwa wa aina hiyo anaweza kutibika hospitali au kwa sangoma kama yeye.
Kwahiyo endeleeni kumwaga maaujuzi ili tujifunze
 
Tunajitolea kupima kwa hiari, mnaanza kutupa ushauri wa kusitisha...
1.nisinywe pombe (sijui wana/mna maanisha nini!)
2.nisile nyama... Kyusa mimi nisile nyama!! Kweli?

Acha nisiendelee....
 
[emoji124][emoji124][emoji124]
Screenshot_2018-10-29-21-41-33-1.jpeg
 
Dada Nakubaliana nawe bila kuacha chembe ya shaka, ila sisi wafrika tunapenda sana kutishana. Pumbavu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna Sangoma mmoja aliwahi sema kwamba pale chooni hupelekwa kiumbe cha kutisha, mwili wa binadamu miguu mnyama, macho na mdomo kama wa tai.
aliyelengwa akiona tu anashtuka na kuanguka, akadai anguko lake linaenda sambamba na kupasuka mishipa ya damu kichwani kwakuwa tu mshtuko ni mkubwa. Akasema mgonjwa wa aina hiyo anaweza kutibika hospitali au kwa sangoma kama yeye.
Kwahiyo endeleeni kumwaga maaujuzi ili tujifunze
Bro huyu mdogo wako,,sema vitu vingine anagoogle tu
 
Back
Top Bottom