Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui ni TECNO yangu imechoka au ni app yenyewe inazingua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20181029-140819~2.jpeg
 
Dini za kale zinasemaje?

Dini na sayansi. Marafiki wawili wasioaminiana [emoji16][emoji16][emoji16]
Unamjua au kumsikia marehemu mzee Small Wangamba?
Huyu mzee mwenyezi Mungu amrehemu, alifariki kwa maradhi ya kiharusi.
Wakati wa kuugua kwake alihojiwa kasema chanzo cha maradhi yake ni kwamba alienda safari ya kikazi Mwanza, siku aliyorudi akaanguka chooni akapigwa na hiyo stroke. Ameendelea kusema kwamba majirani wakaja kumwambia kwamba mmoja wa ndugu zake alifika nyumbani hapo na kafukia vitu kwenye mlango wa choo.
Hapa nadhani napo panahitaji neno
 
Amini Mungu yupo, jenga hofu juu yake, utakuwa unatenda yanayo mpendeza. Utajikwaa mara nyingi mno, simama na uungame,utasamehewa.
Jitahidi kujitengenezea furaha mpya kila siku kwa watu tofauti,ndani ya hiyo furaha utapata makwazo, jifunze kuyatatua kwa furaha. Utaishi bila magonjwa (buladi puresha, sitiresi, na mengineyo) ya hovyo hovyo
Pamoja na yote hayo, muda wako utakapo fika "hakika utakufa" tena kwa furaha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana mzee wangu kwa ushauri mzuri km huu,,,hakika ntautendea haki
 
Unamjua au kumsikia marehemu mzee Small Wangamba?
Huyu mzee mwenyezi Mungu amrehemu, alifariki kwa maradhi ya kiharusi.
Wakati wa kuugua kwake alihojiwa kasema chanzo cha maradhi yake ni kwamba alienda safari ya kikazi Mwanza, siku aliyorudi akaanguka chooni akapigwa na hiyo stroke. Ameendelea kusema kwamba majirani wakaja kumwambia kwamba mmoja wa ndugu zake alifika nyumbani hapo na kafukia vitu kwenye mlango wa choo.
Hapa nadhani napo panahitaji neno
Waafrika wengi wana/tunaamini kwenye sayansi ya asili.
Kama alivyosema SYB wagonjwa wengi wanaoanguka chooni huwa ni BP ndo inasumbua mwisho wa siku unapigwa stroke unadondoka.
Wengi wao baada ya kudondoka ukicheki presha zao huwa juu.
Shida hatuna utaratibu wa kupima afya zetu mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom