Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bro mimi ni binti wa makamo
Kuna muda sipendagi kuongea, najiishia kulamba tamuuu
IMG_20181019_203629.jpeg
 
Dah!

Bro me mtu mzima sana ni vile sijaoa tu.
Aaa wapi. Hujavuka 25 wewe. Na kama umeshavuka si zaidi ya miaka mitatu. So you are likely 23 - 28. Naweza kubet hata TECNO yangu hii niipendayo uichukue kama utakuwa 30+...Ukivuka 30 utaacha kuangalia rangi za mataya ya mabinti na hutaoa kwa sababu eti umechoka kupika...na mengineyo mengi. Maisha yana tabia ya kubadilisha watu kimtazamo na kisaikolojia. Bado mapema sana bro...
 
Sawa
 
Back
Top Bottom