myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KWELIMwafrika ana mira zinazojitosheleza, binafsi nazikubali, kwenye suala la familia nayakubali mambo mengi yanayoongozwa na mira zetu ingawa sikubaliani na vipigo eti ni chanzo cha kuonyesha upendo