Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwakweli!!!
20181029_141423.jpeg
 
Sio kweli, mbona wanatusaidia kupika na kupakua??? Kama tatizo ni kumuhofia ndg. atasema nini, basi akiwepo ndg.wa mwanaume amuachie mkewe afanye kila kitu.
Mkuu hata mimi huwa nasaidia kupika, kufagia, kuosha vyombo nk, ila fahamu hata dini hizi tulizonazo zimetukataza ulevi lakini watu wanalewa, uzinzi,uongo,udokozi nk, lakini yote yanfanyika. Nachosema hapa ni kuhusu miongozo ya dini za kale za mwafrika basi. Kuzifuata au laa ni suala la mtu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom