capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kama hatutaki je[emoji849][emoji849],ukiskia umechapwa kofi ujue ni mimi.
Mh!
Hata wewe.?
Haya sioi tena wacha nijifunze kupika kwanza.
Sasa kama hutaki si ndo ruhusa niongeza mke wa pili.?
Kama hatutaki je[emoji849][emoji849],ukiskia umechapwa kofi ujue ni mimi.
Mh!
Hata wewe.?
Haya sioi tena wacha nijifunze kupika kwanza.
Mh!
Hata wewe.?
Haya sioi tena wacha nijifunze kupika kwanza.
Sasa kama hutaki si ndo ruhusa niongeza mke wa pili.?
Kiafrika hiyo ni ngumu kamanda, akija dadako akakuta hayo mambo familia zima itakushangaa.
Hadi ufuzu si kwa makovu ayo ya kuungua [emoji13], alafu wanaume mkipika mnaonja sana.🤣
Wakuu muwe na usiku mwema, masaa mawili au matatu baadaye Mungu akipenda tutakutana tena
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kwani mie mkeo!.
Mchepuko
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ngoja niishie hapo!!!Kiafrika hiyo ni ngumu kamanda, akija dadako akakuta hayo mambo familia zima itakushangaa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kwani mie mkeo!.
Hakuna kitu kinacholeta furaha kama nyote mnapika pamoja mnacheka na kufurahi. Au yeye kachelewa kurudi kazini mi nimewahi anafika anakuta nimeshapika na kuandaa meza tayari. Kawaida kabisa!!!Wala mie shemegi yenu Alhamdulilah ananisaidia sana Na wala hajali wengine wanaonaje tena hujiproud asa.
Bado sana kumfikia THE GOATCongrats to KingJames of the Lakers for moving up to 4th on the NBA’s ALL-TIME 30-POINT GAMES list!
View attachment 914609