Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2321][emoji2321][emoji2321]View attachment 914657
Msukuma ni nani?
Msukuma ni mtu anayepika ugali wa watu watatu halafu anaumaliza wote kwa kuonja tu.
Siyo kwamba msukuma wa kweli ni yule anayepiga ugali mkubwa na mdogo, na anautumia ugali mdogo kama mboga ya kulia ugali mkubwa?
MhKuhusu Sugar ray, Ambience, Kimboka, Sewa, Dar Live, Jolie mambo ni [emoji91] [emoji91] View attachment 914396
SafiiKanga mokoView attachment 914458
Wakati huohuo Bosi wa United Jose Mourinho anataka wachezaji wake wajumuike naye kutembea kutoka Hotelini mpaka Uwanjani Old Traford kukwepa foleni inayoweza kutokea kama ilivyotokea kwenye mchezo dhidi ya Juventus kwenye UEFA ingawa watu wa usalama nchini humo wamepinga zoezi hilo. (Mail)
Bila shaka kwakweli.Hahahaha umeona eeh,,kuna baadhi ya timu nmeanza kuzshtukia wanabet nao
Sio kweli, mbona wanatusaidia kupika na kupakua??? Kama tatizo ni kumuhofia ndg. atasema nini, basi akiwepo ndg.wa mwanaume amuachie mkewe afanye kila kitu.Kiafrika hiyo ni ngumu kamanda, akija dadako akakuta hayo mambo familia zima itakushangaa.
Piiiiipiiii...