moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Niliwahi kusoma historia ya mchezaji mmoja wa Liverpool, HAMMAN anasema alipigwa $200,000/ jioni moja tu na kuchanganyikiwaHahaha shwain zao kabsa
Niliwahi kusoma historia ya mchezaji mmoja wa Liverpool, HAMMAN anasema alipigwa $200,000/ jioni moja tu na kuchanganyikiwaHahaha shwain zao kabsa
Hahahaha umeona eeh,,kuna baadhi ya timu nmeanza kuzshtukia wanabet naoNi sawa na kumpa Everton direct win, Everton sijui anauza mechi.
Hahahah ndio maana nmeanza kuwa na waswas co huyo tu,,wapo wengi sana wenye skendo hzoNiliwahi kusoma historia ya mchezaji mmoja wa Liverpool, HAMMAN anasema alipigwa $200,000/ jioni moja tu na kuchanganyikiwa
Siyo kweli.
Siku hizi ni kusaidiana...
Anapika mboga we unamalizia ugali...
Hahahaha hanidanganyi bro,,suala la kupika hata ww inabd uwe vzr,,,app za mapishi zipo nyingi sana
Sawa bro !!!
Ndiyo maana nikapachika uandaeitini hapo. Tuna wadogo zetu humu wengi sana. Cha ajabu wala hamtaki kutusikiliza tukawapa miongozo. Mnajifanya mnajua kila kitu. Mtapata taabu sana indeed wallahi mane lavusi mi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kiafrika hiyo ni ngumu kamanda, akija dadako akakuta hayo mambo familia zima itakushangaa.Siyo kweli.
Siku hizi ni kusaidiana...
Anapika mboga we unamalizia ugali...
Tungependa kuwa nawe hapa profesaNyie endeleeni kuwepo.
Hahaha wanasema "kaka etu tayali ameshawahiwa"Kiafrika hiyo ni ngumu kamanda, akija dadako akakuta hayo mambo familia zima itakushangaa.
Hahahaha hanidanganyi bro,,suala la kupika hata ww inabd uwe vzr,,,app za mapishi zipo nyingi sana
Ha hah
Et Undaeitin
Kuandaa chakula ni moja ya jukumu la Mwanamke.
Pamoja bro,,,AlamsikiWakuu muwe na usiku mwema, masaa mawili au matatu baadaye Mungu akipenda tutakutana tena