Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa msosi nilio pika leo, acha nioe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa msosi nilio pika leo, acha nioe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], una moyo kumpa direct win LeipzigRB Leipzig kadraw nilimpa ashinde mwanzo mwsho,,,
Hahaha haina jinsi tuchek tu
Ni kweli kabsa,,ila kuna tuhuma nyingi sana ulaya juu ya marefa na wachezaj kubet,,huwa wakigunduliwa wanafungiwaWachazaji na viongozi wa mchezo wa soka hawaruhusiwi kubet mkuu
Unaoa mpishi? Andaeitini bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa msosi nilio pika leo, acha nioe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatakiw kumbe,,,nilimuona yupo kwenye form nzuri msimu huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], una moyo kumpa direct win Leipzig
Huku bado tupo tupo sana mkuu[emoji16] [emoji16]Sawa..Ngoja nirudi kulala maana nilishtuka tu kutoka usingizini nikaamua kuchungulia huku.
Acha kucheka prof. Du yu no hau tu kuuk? If ze answa izi yesi, changamka...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana..Ukawe na jioni njema [emoji120][emoji120]Lala salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwa msosi nilio pika leo, acha nioe tu
Bro umeongea point nzuri sana,,hapa ndipo tunapokosea sisi vijana,tunaoa kwa ajiri tumechoka kupika,kufanya usafi,kufua na vtu vngineUnaoa mpishi? Andaeitini bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaoa mpishi? Andaeitini bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kucheka prof. Du yu no hau tu kuuk? If ze answa izi yesi, changamka...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ni kweli kuna wakati nao wanajiongeza ili wapige Bingo[emoji16] [emoji16] ndio.wanaochana mikeka haoNi kweli kabsa,,ila kuna tuhuma nyingi sana ulaya juu ya marefa na wachezaj kubet,,huwa wakigunduliwa wanafungiwa
Hahaha shwain zao kabsaNi kweli kuna wakati nao wanajiongeza ili wapige Bingo[emoji16] [emoji16] ndio.wanaochana mikeka hao
Nyie endeleeni kuwepo.Huku bado tupo tupo sana mkuu[emoji16] [emoji16]
Ndiyo maana nikapachika uandaeitini hapo. Tuna wadogo zetu humu wengi sana. Cha ajabu wala hamtaki kutusikiliza tukawapa miongozo. Mnajifanya mnajua kila kitu. Mtapata taabu sana indeed wallahi mane lavusi mi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Bro umeongea point nzuri sana,,hapa ndipo tunapokosea sisi vijana,tunaoa kwa ajiri tumechoka kupika,kufanya usafi,kufua na vtu vngine
Hata mi hilo pia ni moja ya vipaumbeleHa hah
Et Undaeitin
Kuandaa chakula ni moja ya jukumu la Mwanamke.
Siyo kweli.Ha hah
Et Undaeitin
Kuandaa chakula ni moja ya jukumu la Mwanamke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatakiw kumbe,,,nilimuona yupo kwenye form nzuri msimu huu
Hahaha kweli aisee,,,mm nikitaka kuvuta jiko,,ntavuta sio kwa ajir ya kupika au kufanya usafi,,,ntavuta kwa kuwa nahtaj kuwa na mtu,mtu anaweza kupiga step moja mbele,mtu atakae juu nn maana ya ndoaNdiyo maana nikapachika uandaeitini hapo. Tuna wadogo zetu humu wengi sana. Cha ajabu wala hamtaki kutusikiliza tukawapa miongozo. Mnajifanya mnajua kila kitu. Mtapata taabu sana indeed wallahi mane lavusi mi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]