Oooh safi, ndizi tamu sana hizo
Chakula cha mwenzangu? Alikuwa wapi wakati mi nakila kwa mara ya kwanza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], VIPORO sio vizuri bwana hata kama ni kipindi cha hari.. Kumbuka hicho ni chakula cha mwenzio.
Wewe hupashagi prof?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], VIPORO sio vizuri bwana hata kama ni kipindi cha hari.. Kumbuka hicho ni chakula cha mwenzio.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]OK bro. Uliposema alikuwa x wako nikadhani ama mmerudiana au alishatangulia mbele ya haki. Safi sana bro. Kuachana kikubwa namna hiyo ndiyo vizuri. Inarahisisha hata upashaji wa viporo huko mbele ya safari [emoji16][emoji16][emoji16]
Viporo. Vingine vitamu sana bro kuliko hata chakula kilichomaliza kuepuliwa kutoka jikoni...kama kile chako cha Nganza [emoji16][emoji16][emoji16]MNAONGELEA NINI???
Kitu gani huondoa ujinga mkuu?Elimu (hasa ya darasani) mara nyingi huwa haiondoi ujinga....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro,,,aiseee bt hz ishu za vipole kisipopashwa vyema knaweza kukuletea madhara,,,hadi ukajuta kwann umekula kile kiporo...Ngaza hatar aiseeeViporo. Vingine vitamu sana bro kuliko hata chakula kilichomaliza kuepuliwa kutoka jikoni...kama kile chako cha Nganza [emoji16][emoji16][emoji16]
"The streets" bro. Maisha...Kitu gani huondoa ujinga mkuu?
Hahah!! Nipekupata bro (Kitaaologia)"The streets" bro. Maisha...
Tuna wasomi wengi wajinga sana. Wengine PhD holders kabisa...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Unafikiri lijoka makengeza siyo lijinga mkuu?
Huku kwema kiongoziSalama kabisa. Huko vipi? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
......[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], VIPORO sio vizuri bwana hata kama ni kipindi cha hari.. Kumbuka hicho ni chakula cha mwenzio.
Ubwabwa wa jana aka kiporo[emoji3] [emoji3]MNAONGELEA NINI???