myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
12:00
Sana tu kama utulivu ndani ya uzi wa madridUko poa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitazungukia huko na mimi nikajionee huo upole uliotanda humoSana tu kama utulivu ndani ya uzi wa madrid
Hahahahah usiende bana nimeharibu huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitazungukia huko na mimi nikajionee huo upole uliotanda humo
Aya gonga #like nikupe #like
Lazima tuone huo uharibifu [emoji23][emoji23][emoji23]...Hahahahah usiende bana nimeharibu huko
Wanaboa kila siku kumdiss mtu mmoja tu bora tuchambane yaishe na sio kukalia tatizo wakati kila mtu anafahamu tatizo lilipoanziaLazima tuone huo uharibifu [emoji23][emoji23][emoji23]...
Mnatakiwa mshikamane na kuwa kitu kimoja bhana nimeona kila mtu kawa mwandishi wa gazeti kwa mwenzake [emoji16][emoji16]