Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lazima tuone huo uharibifu [emoji23][emoji23][emoji23]...

Mnatakiwa mshikamane na kuwa kitu kimoja bhana nimeona kila mtu kawa mwandishi wa gazeti kwa mwenzake [emoji16][emoji16]
Wanaboa kila siku kumdiss mtu mmoja tu bora tuchambane yaishe na sio kukalia tatizo wakati kila mtu anafahamu tatizo lilipoanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…