D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Sisi wengine kiingilishi hakipandi tunabaki kusikiliza midundo.Nimesikiliza jana hyo album,,mtu mzima siku zote hakosei
🆗
Sisi wengine kiingilishi hakipandi tunabaki kusikiliza midundo.Nimesikiliza jana hyo album,,mtu mzima siku zote hakosei
Hakika bro,,,itafute aiseeSintojuta kuisikiliza?
Hujawahi kuniangusha bro nitaleta mrejesho tuHakika bro,,,itafute aisee
Kuna ngoma zna vibe la hatari,,unakuwa unatikisa kichwa tu
Hahahaha bro,,vitu vzr ni vyema tukajuzana hapa kuliko kuchoma mb kwenye hamnaHujawahi kuniangusha bro nitaleta mrejesho tu
[emoji23][emoji23] sure bro maana Mb nazo zimekua deal sana zama hizi za mzee wa ChattleHahahaha bro,,vitu vzr ni vyema tukajuzana hapa kuliko kuchoma mb kwenye hamna
Kamilisha basi japo top 5my best rappers
- Eminem
- marshal mathers
- slim shady
Steph curry a.k.a mungu mdogo wa basket ball.
Sana mzee,,,inabd uztumie kwa woga sana,,[emoji23][emoji23] sure bro maana Mb nazo zimekua deal sana zama hizi za mzee wa Chattle