myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
06:25
duh!!Aaron Ramsey, 27, kiungo wa kati wa Wales, ameambiwa na Arsenal anaweza kuihama klabu hiyo msimu ujao wa joto. (Mail)
aisee...Aliyekuwa meneja wa klabu ya Chelsea Antonio Conte bado anapigiwa upatu kuchukua wadhifa wa kuwa mkufunzi mkuu katika klabu ya Real Madrid licha ya tetesi za mapema wiki hii kwamba hakuna uwezekano huo. (AS)
aende tu hakuna namnaKlabu ya Paris St-Germain inapania kumnunua mshambuliaji Alexis Sanchez, 29, kutoka Manchester United msimu ujao wa joto. (Sun)
safi sana ..
kweliiKuna mengine ya kuenjoy pesa haiwezi kununua
Mmhhmm.