Ninayo mingi tu, alinipa Msabaha na Masha!Mkuu ISIS naskia na wewe umeagiza kinu cha kuchenjulia makinikia,vp una una mgodi wa madini nini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121]
YupMkuu ISIS naskia na wewe umeagiza kinu cha kuchenjulia makinikia,vp una una mgodi wa madini nini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121]
Asante mkuu SHIMBA YA BUYENZE si unajua sio kila muda ni was kujadili mambo magumu. Sometimes tunahave fun kimtindo. Hata Mimi sikufiria kama Uzi utapendwa hivi. Nashukuru kwa kuupokea Uzi vizuri. Uzi huu ni wa kwetu wote mkuuHapo sasa. Heshima yako mkuu. Umeanzisha uzi huu halafu ukapotea. Tutakulipaje? Inawezekana kufanya utaratibu wa kukumwagia likes peke yako somewhere kama shukrani? You thought well na imegeuka kuwa gemu nzuri na mahali pa kupunguzia stress....
jakitoo karibublue monday 😕
Asante sana mkuu. You have changed JF for ever !!!Asante mkuu SHIMBA YA BUYENZE si unajua sio kila muda ni was kujadili mambo magumu. Sometimes tunahave fun kimtindo. Hata Mimi sikufiria kama Uzi utapendwa hivi. Nashukuru kwa kuupokea Uzi vizuri. Uzi huu ni wa kwetu wote mkuu