Pamoja na kukuongezea hizo hamu lakini vyakula hivyo pia vinatoa nishati ya kukutosha kufanya mapenzi.
Wapo waswali wanaokula ngisi, wapo wanaokula karanga, wapo wanaokula muhogo mbichi, wapo waanaolitengeneza vyema tui la nazi, wapo wanaojua kutumia machicha lakini ninachotaka kusema kama nilivyosema hapo juu ni namna tu ya kupiga chakula ambacho kina kemikali zenye viamsha nyege.
Pia kuna aina ya mvinyo ambayo humfanya binti awe na hamu kubwa ya kufanya mapenzi. wapo wanaozungumzia divai na wapo wanaozungumzia amarula