Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

44926392_258501541476462_6327244848055675842_n.jpg
 
Asante kwa ufafanuzi prof.

Mi nilipita kuwasalimia tu baada ya kupata kanafasi leo Sunday. Kamvua kananyesha hapa. Kijibaridi na kiupepo kinapuliza na kusisimua hisia za kimwili na hata kiroho. Madirisha yako wazi. Huko nje matawi ya miti midogo yananesanesa kwa madaha. Baadhi ya ndege wanaghani nyimbo zao kwa ustadi. Ni hali ya hewa nzuri na yenye kusisimua fikra sana. Kifuani moyo unadunda na kuimba wimbo wa maisha. Ninapumua. Niko hai !!!

Na katika muktadha huu najiuliza SHIMBA mimi ni nani? Kwa nini niko hapa? Ni kweli yote haya yametokea kwa bahati tu. Sayari hii nzuri inayoelea angani na kusafiri kwa mwendo huu mkali usiopungua wala kuongezeka imejiweka tu hapa kwa bahati? Hapana. Lazima kuna Mhandisi wa kanuni hizi tata zinazoendesha sayari hii na malimwengu mengine. Wazo hili tu linanisukuma kunyanyuka na kwenda bafuni kujiandaa kwenda kumwamudu Mhandisi huyu wa ajabu. Tutasemeshana baadaye prof na Mungu Aendelee kutubariki sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen [emoji120][emoji120]

Wengi wetu tunajua KUSOMA NA KUANDIKA. Mshukuru sana Mungu kama umezawadiwa na uwezo wa KUTAFAKARI (japo ni wachache sana) maandiko.

Usichoke kutuombea hata sisi usiye tujua.
 
Asante!! Barikiwa.
Nimefurahi mashairi yote haya kwamba mwisho wa siku umeishia kumtukuza aliye juu, muumba mbingu na nchi, mtawala wa vyote, anayetupatia jeuri ya kutembea vifua mbele na makalio yetu yakiwa nyuma....[emoji120][emoji120][emoji120]

Daima tuwe karibu nae hadi ile siku atakayokuja kwa mara nyingine kutuchukua tulio wake....
....na makalio yenu yakiwa nyuma...
Yaani hapo tu nimewaza mbali sana.

Yaani makalio kwa lugha nyingine ni "mitako" minene,yaani ukitembea yenyewe inafuata nyuma kwa mtikisiko wenye mrindimo wenye mvuto...
Sasa Pyaar... yaani... kama kwenye ile avatar...kweli?!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
....na makalio yenu yakiwa nyuma...
Yaani hapo tu nimewaza mbali sana.

Yaani makalio kwa lugha nyingine ni "mitako" minene,yaani ukitembea yenyewe inafuata nyuma kwa mtikisiko wenye mrindimo wenye mvuto...
Sasa Pyaar... yaani... kama kwenye ile avatar...kweli?!!!
Sitaki miee.
 
Back
Top Bottom