capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Asante bro. Kasalimie Kazaramo kako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro
We love you na Wasuku wote,,,nmefurahi kukuona mchana wa leo kushare mawili matatu hapa,,,sema nakuombea kwa Mungu umalize mambo yako vyema ili tujumuike pamoja tena.
Akija binti mzaramo,ntamfikishia salama zake
Much love bro!!
Hahahaha bro bhana,,shiro yupo,,sema yupo busy kidogo akimaliza atatokea piaHakuna atakayekula iginoa listi ila tu bro umenimaliza. Nimemtafuta Shiro naye hapatikani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante mkuu. Miye sijambo kabisa. Ni pilika tu za hapa na pale. Maandaeitini wa hapa makelele mengi ila wangetulia wangegundua kuwa wana life coaches na wahenga wenye busara sana hapa hapa tukawasaidia wasirudie makosa tuliyopitia. Ila ndo hivyo ukiwaita Gold Crest wanakausha sijui wanafikiri utakuja kuwanyandua. TUMSHUKURU MUNGU. Nisalimie dada na vipwa vyangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Title deeds under threat. Kwema programmer?
Prof. nadhani lanifaa na kunipatia heshima tele....Google linakusanya vyote, visafi, vichafu, vizuri na vibaya humo humo....Fyekelea mbali Google.Maji hayajazidi unga...
Naona umeongezewa jina jingine (Google). Tukuiteje sasa? Prof? Google? Prof. Google ama? Kongaratyuleisheni [emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shimbaaa
Ahsante ndugu yangu zimefika. Uwe na siku njema
Tutawatumia vyema bro.Asante mkuu. Miye sijambo kabisa. Ni pilika tu za hapa na pale. Maandaeitini wa hapa makelele mengi ila wangetulia wangegundua kuwa wana life coaches na wahenga wenye busara sana hapa hapa tukawasaidia wasirudie makosa tuliyopitia. Ila ndo hivyo ukiwaita Gold Crest wanakausha sijui wanafikiri utakuja kuwanyandua. TUMSHUKURU MUNGU. Nisalimie dada na vipwa vyangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], eti "kuwanyandua" Sometimes maneno yenu ya kimafia yanawafanya maandaeitini waogope kukutana nanyi[emoji23][emoji23][emoji28].Asante mkuu. Miye sijambo kabisa. Ni pilika tu za hapa na pale. Maandaeitini wa hapa makelele mengi ila wangetulia wangegundua kuwa wana life coaches na wahenga wenye busara sana hapa hapa tukawasaidia wasirudie makosa tuliyopitia. Ila ndo hivyo ukiwaita Gold Crest wanakausha sijui wanafikiri utakuja kuwanyandua. TUMSHUKURU MUNGU. Nisalimie dada na vipwa vyangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante kwa ufafanuzi prof.Prof. nadhani lanifaa na kunipatia heshima tele....Google linakusanya vyote, visafi, vichafu, vizuri na vibaya humo humo....Fyekelea mbali Google.
Mie mwenyewe niliondoka nikamuacha na dav[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwsho ulikuaje,,maana niliona niwapshe kwanza
Waaaah[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hovyo kabisa yaani [emoji116][emoji116][emoji116][emoji36][emoji36][emoji36]View attachment 921039
Naona jimama limekuachia leo[emoji23][emoji23][emoji23].Niko poa wapendwa. Nawapenda sana (including Wazaramo) na Mungu Aendelee kutubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]