Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndugu zako wa karibu halafu unawatosa hivi? With bros like these mhhh...[emoji16][emoji16][emoji16]
Amin [emoji120][emoji120][emoji120]Tumshukuru Mungu, hajatuacha peke yetu, anatupatia hata tusivyo stahili. [emoji120][emoji120]
AsanteNa kwako pia.
Asante mkuu. Miye sijambo kabisa. Ni pilika tu za hapa na pale. Maandaeitini wa hapa makelele mengi ila wangetulia wangegundua kuwa wana life coaches na wahenga wenye busara sana hapa hapa tukawasaidia wasirudie makosa tuliyopitia. Ila ndo hivyo ukiwaita Gold Crest wanakausha sijui wanafikiri utakuja kuwanyandua. TUMSHUKURU MUNGU. Nisalimie dada na vipwa vyangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kyala ughwa maka, shemeji habari ya mahangaiko? Kuadimika kwako vijana walifadhaika humu, ukubwa dawa... Kunyamaza... Watoto huridhika wakiona sura ya mkubwa ikiwa na nuru. Jambo la heri ulimuaga mwenyeji wako wa "Crest", hofu ikapungua.
Karibu sana mkuu... [emoji120][emoji120]
Hahaha carbamazepine nilikuambia mapema kabsa,,ukipigwa iginolist usiniinkulidi na mm hahaUsimruke Mzaramo wako. Mlikuwa wote sambamba kabisa mnatukandia yaani. Nimecheka sana bro ila kwa ubro wetu nilitegemea ungetutetea angalau.
Wanamsemaga sana huyu Dr kwenye yale mambo. Sijui ni kweli masikini ...[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hakuna atakayekula iginoa listi ila tu bro umenimaliza. Nimemtafuta Shiro naye hapatikani.Hahaha carbamazepine nilikuambia mapema kabsa,,ukipigwa iginolist usiniinkulidi na mm haha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] broBro na Kazaramo kako. Mmenichekesha sana. Yaani mmetumia karibu lisaa lizima mnajadili Wasuku. I love you guys. Naondoka nikirudi tena nikute material zaidi aisee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]