Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Usimruke Mzaramo wako. Mlikuwa wote sambamba kabisa mnatukandia yaani. Nimecheka sana bro ila kwa ubro wetu nilitegemea ungetutetea angalau.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nawasifia Wasuku,kuwa ni wakalimu sana,na wako na moyo safi,,sema hayo mengine mzaramo akaja kujazia
Hope uko poa kabsa,na unapambana na majukum ya kila siku,karbun sana bro