Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kafungiwa wapi huyu mzee
Hovyo kabisa yaani [emoji116][emoji116][emoji116][emoji36][emoji36][emoji36]
Screenshot_20181104-064929~2.jpeg
 
H
Ikoje? Nipe maelekezo. Nina software hapa inaweza kuchimbua picha zilizofutwa within 36 hrs. Naweza kuipata. Hiyo picha ikoje? Uso peke yake? Vile vidole vyake au ni full body?
Hapo sasa sijaiona ilinipita hio,chimbua ya kakijana angalia kucha kisha tuibulie ila duh tusije mkimbiza bae wa uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwema bro. Nimeondoka kidogo nimekuta bro umetusema Wasuku na hako Kazaramo kako duh! Sikutegemea kabisa bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa nawasifia Wasuku,kuwa ni wakalimu sana,na wako na moyo safi,,sema hayo mengine mzaramo akaja kujazia

Hope uko poa kabsa,na unapambana na majukum ya kila siku,karbun sana bro
 
Back
Top Bottom