Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

H
Hapo sasa sijaiona ilinipita hio,chimbua ya kakijana angalia kucha kisha tuibulie ila duh tusije mkimbiza bae wa uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama specifications zake hazijulikani itakuwa vigumu kuipata. Software inataka specifications mfano deleted faces, full body etc. Kwa maelfu ya picha zinazofutwa hapa JF hivi hivi tu itachukua muda sana. Tuachane nayo...
 
Mwanamuziki Sir Elton John - ambaye ni shabiki wa Watford- mwezi uliyopita alimtumia ujumbe mfupi mwenyekiti wa wa klabu hiyo Scott Duxbury kumuomba amsajili kipa wa Burnley na England Tom Heaton, 32. (Daily Mirror)
 
West Ham wanatathmini kumchukua kwa mkopo mshambuliaji wa zamani wa Fulham Kostas Mitroglou mwezi Januari. Mchezaji huyo mwenye miaka 30 kwa sasa yuko Marseille lakini atapatikana. (Daily Mail)
 
Tottenham wanataka kumsaini kiungo wa kati wa Colombia Wilmar Barrios kutoka Boca Juniors mwezi Junuary. Mchezaji huyo mwenye miaka 25 anaweza kupatikana kwa puani milioni 16. (Star)
 
Back
Top Bottom