Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mipango ya Manchester United kuwapa mikataba mipya kipa David de Gea, 27, na mshambuliaji Anthony Martial, 22, inatatizwa na mshahara wa pauni 400,000 aliopewa mshambuliaji Alexis Sanchez mwezi January. (Mirror)
 
KENYA : MBARONI KWA KUMUUA MWANAYE - Mercy Chepngeno(22) anashikiliwa kwa kumuua mwanaye wa kiume wa mwaka 1 na kuutupa mwili wake kwenye jalala eneo la Kuresoi, Kaunti ya Nakuru - Akisubiri kwenda Mahakamani, amekiri kitendo hicho kwa Polisi.
 
Screenshot_20181102-180323~2.jpeg
 
Back
Top Bottom