Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera sana kaka.
Shida ni mijibaba ya hapa...
Inazengea balaa. Yaani inabidi kuwa macho 24/7. Akina Andjul, Kichwa Kichafu na akina Cole hawachezi mbali. Ni mapambano hasa! Tena Kichwa Kichafu yeye anatembea na pete za uchumba mfukoni kabisa kabisa na akikubaliwa tu hata kama ni sokoni anavisha mtu pete. Ni hatari!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…