Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ooooh! Pole sana. Ni masalia ya wikiendi tu hayo...
Kuna vijana wasomi wamejaa huku mitaani wangependa mno kuja hapo panapokuboa...
Shukuru Mungu baby kuwa angalau una hapo panapokuboa...
Papende na chapa kazi kwa uadilifu mkubwa.
Nyenyekea na heshimu kila mtu...
Huku ukijua kuwa kazi hiyo ni mapito tu....

May be you are stressed out...
A good massage or meditation will do...
Nisubiri jioni!​
Nimekuelewa baba... [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Alikuwa kiboko...
Mtoto wake amekuwa akimtetea sana kuwa historia ya babake imepotoshwa.
ni kweli historia ya idd amin imepotoshwa ukitaka kujua ukweli usisikilize ya watu we nenda moja kwa moja kaangalie documentary za iddi amin zile ambazo ni yeye mwenyew na sio zile zilizotengenezwa za maigizo

ki ukweli iddi amin alikua ni mtu sahihi kwa upande wangu
 
Na kwa nchi za Afrika hizi mi nasema hata madikteta kama Idd Amin watawale sawa tu
Ali mradi wasiue watu na wahakikishe maendeleo yanapatikana.
Demokrasia hii ya Wamarekani hii wala hatuielewi na kusema kweli haijatusaidia lolote.
Imegeuka mtindo tu wa kupigania madaraka lakini kimsingi mambo ni yale yale!!!
 
Back
Top Bottom