[emoji16][emoji16][emoji16]Hio hio miguu tangu mwanzo
Leo full kicheko,asante man city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salamu kwa man ULeo full kicheko,asante man city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FT?Yanga vs Ndanda 1-1
Yup..
Leo kapunguzwa kasiYup..
Yuko vizuri sana anajitahidi.Hatari huyu mtu afu hii ngoma yake mpya inakimbiza sana hapa town, juzi nilikua samaki samaki pale city ebhana eeh ilikua hatari sana pale Mr Dj alivyoigusa
[emoji125][emoji125][emoji125]Mmh jnne sijui tano tupo na juveSalamu kwa man U
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe mzee ,,ya kwangu pia unayo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Davet ni kijana mstaarabu sana siwezi fanya hivyo. Labda nikutumie ya ningendako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaonekana tuHapa ndio nyumbani kwa maaibu kweli huo ni ugonjwa wangu mkubwa, sasa wewe nae sijui umejuaje kupitia muandiko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona wezi wamekuja na njia nyingineNdungu - Ndugu...
Asilina - Wasiliana...
Ata sikumbuki mara ya mwisho kunywa coca View attachment 921408
Aisee,,nasubir akujibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani ninge sio mstaarabu?
Ndo li vibe la weekend eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hanishindi mimi [emoji16]
Eeh sasa hivi wanakupa tu ushindi [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona wezi wamekuja na njia nyingine
Ndege wa rangi mojaaaa
Yaah! ila ilikua ijumaa hiyoNdo li vibe la weekend eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujanja wangu upo wapi mzee??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni mzazi, kwa kuangalia miandiko yao nimegundua ningendako ni mjanja mjanja kuliko Davet. Tatizo lipo kwa Cole na Davet, kwa mzazi mwenye mapenzi na watoto atateseka sana kuwalea... Wanahitaji ukaribu sana