Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inategemeana na ww mwenyewe ni mpenzi wa nini!!
Mpira
Muziki
Habari
Movies
Au Documentaries??

Tuambie kipaumbele chako
 
Kuna jamaa juzi kati hapa alipigiwa simu na jamaa aliyejitambulisha kama mtoa huduma kwa wateja wa voda ,akamwambia kuba mtu kakosea kutuma pesa katuma kwenye namba yake na hapohapo anamuuliza mpesa yake ina shilingi ngap.
[emoji16][emoji16][emoji16] watu wamezidisha ubunifu katika kutafuta pesa adi wanakosea sasa
 
Human waste must be managed well

DrLFHM-WsAEBH4U.jpg
 
Kila mtu ana uhuru wa kufanya mambo yake
serikali haihusiani na maisha ya watu, labda kama wanajitangaza hadharani au kuonesha mapicha yao
mtu yupo na mtuwe na hawajawashirikisheni nini kinawauma?
 
Back
Top Bottom