Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachezaji wa Leicester City wamewasili nchini Thailand kwa mazishi ya mmiliki wa klabu ambaye alifariki kwenye ajali ya helikopta.
Jamie Vardy na nahodha wa klabu Wes Morgan ni baadhi ya wachezaji ambao wamehudhuria mazishi ya Vichai Srivaddhanaprabha kwenye hekalu mjini Bangkok.
Mazishi hayo yaliyoanza siku ya Jumamosi yataendelea kwa wiki nzima.
 
Nusara Suknamai, Kaveporn Punpare, rubani Eric Swaffer na mpenzi wake, Izabela Roza Lechowicz, nao walikufa kwenye ajali hiyo.
Mazishi ya Bi Nusara yalifanyika Bangkok siku ya Jumamosi
Bi Nusara 32 mmoja wa wafanyakazi wake Vichai alichukua nafasi wa pili kwenye shindano la urembo la mwaka 2005 la Miss Thailand Universe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…