Ipo vizuri pia angalia usije shindwa kulalaMimesha download nangoja kuianglia walahi uwiii
Unapenda horror eeh,,,huwa unatzama usiku??Nazitafuta hizi nikizipatia wasaa niziangalie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naziamgaliaga mchana tu walahiIpo vizuri pia angalia usije shindwa kulala
Unapenda horror eeh,,,huwa unatzama usiku??
Ipo vizuri pia na hii,hope utaenjoy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasuku ni noma,,,mtu anataka kuondoka na lips za mwenzie
Usiku ndio vzr mkuu,,,mchana haibambi sanaNaziamgaliaga mchana tu walahi
Nikiziangalia usiku huw zina contaminate na vision zangu walahi
Hahahahhaah ila carba wewe mbabe jamani . hizo movie hadi isis anaogopa angalia usiku ila wewe waweza duh walahi upo vizuriUsiku ndo zinabamba,kuangalia horror movie mchana ni umama.
Nitaitafuta kwakweli
Haha itafute carba, hakika hutojutia kuna hii The Nun na Conjuring 2...Usiku ndo zinabamba,kuangalia horror movie mchana ni umama.
Nitaitafuta kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carba,,leo naishia hapa bro asije akapotea tenaHatari sana,jamaa anang'ata kama anakula nyama[emoji23][emoji23]
Hahaha umemshtukia eeh,,,carba mkorofi huyuHahahahhaah ila carba wewe mbabe jamani . hizo movie hadi isis anaogopa angalia usiku ila wewe waweza duh walahi upo vizuri