Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

43913960_256613998537206_1374116273670944053_n.jpg
 
Yaani mimi simuelewi huyu dada siku hizi,anakwamvia konki alioa shinyanga huko shoga,sijui kuna shoga mwingine alikuwa anamtindua kafa,mara kaposti video ya kidada kimoja hivi anasema ni mke wa konki eti konki jogoo hapandi mtungi hadi abustiwe[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo nae kila mtu ana bifu nae,aachie huo mzigo mfyuuu zake
 
Yaani mimi simuelewi huyu dada siku hizi,anakwamvia konki alioa shinyanga huko shoga,sijui kuna shoga mwingine alikuwa anamtindua kafa,mara kaposti video ya kidada kimoja hivi anasema ni mke wa konki eti konki jogoo hapandi mtungi hadi abustiwe[emoji23]
Hata haeleweki mara anatinduliwa mara anatindua oooh mke anadai jogoo hapandi wakati huo huo wana mtoto duh. Kwanza mange yanamhusu aje sasa maana hajatajwa tununu wake anayemteteaga hapo
 
Back
Top Bottom