Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

44692911_1935678570066817_6857293676951680890_n.jpg
 
Mke anadai jamaa hadi abustiwe na le midofinga ndo jogoo anawika,naona na yeye anatumika tu apate kiki ya masaa machache.

Mange anapenda kudakia vitu,ngoja tusubiri hilo bomu analotaka kulipua
Hata haeleweki mara anatinduliwa mara anatindua oooh mke anadai jogoo hapandi wakati huo huo wana mtoto duh. Kwanza mange yanamhusu aje sasa maana hajatajwa tununu wake anayemteteaga hapo
 
Mke anadai jamaa hadi abustiwe na le midofinga ndo jogoo anawika,naona na yeye anatumika tu apate kiki ya masaa machache.

Mange anapenda kudakia vitu,ngoja tusubiri hilo bomu analotaka kulipua
Hapo mke anaonekana kichenchede kutoa siri za ndani. Halafu wana ndoa wanabaki wanamshangaa mbona ya kawaida hayo ndoa zina mengi jamaniii
 
Mwenyewe nalala porini na saizi niko kitaa napuyanga[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja isis aje atupie vipicha hapa.
Halafu kumbe we ni kaoga eeh???
Sana yaan hayo mahololi na mie mbali mbali kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilionaga moja bahati mbaya jamaa anateswa na kuingiziwa mjusi kitovuni uwiiii siku iliharibika
 
Back
Top Bottom