Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oooh waoo kale kamtelemko kananikumbusha kitendawili cha pruuuuuuuu mpaka maka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kale kamteremko bhana,,usipokuwa makini unaweza anguka ghafra puuuuuh mkaanza kuulizana vp tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseh!!unataka upigwe nao[emoji15][emoji15][emoji15]ewe ni mnoma sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unataka kupigwa na fenesi nene zito?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nene zitoo jeusiii lililopindapinda na kunesanesa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasuku noma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
,umesahau kupiga picha kwenye lile sanamu la samaki linalotoa maji huku wanalisonta kwa kidole

Sema ni wakarimu kupita maelezo
Acha hizo basi mbona unanisemaaa(hilo pozi nshapiga ujuee)

Umesahau lile pozi la jet lee lile la kurusha teke kama wataka pigana na samaki kumbe pozi la picha wacha kabisa,watajuaje ulishafikaga paleeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chezeya kona shimba utaita thimba,carba utaita carpa wacha kabisa kona zile hasa upate dereva mtaalamu full kuyumba yumba kisailensa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaalamu huyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe numbisa wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…