Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha hizo basi mbona unanisemaaa(hilo pozi nshapiga ujuee)
Umesahau lile pozi la jet lee lile la kurusha teke kama wataka pigana na samaki kumbe pozi la picha wacha kabisa,watajuaje ulishafikaga paleeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]