Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nadhani ni musician/model/socialiteHuyuu ni Model au actress.?
Mbongo.?
Hiyo mambo yaoo ni story za longi sema upepo ndo unapita kwa mitandao ya kijamii bongo.Kazuri sana hako kabinti japo nako wanakasemaga kana yale mambo yao yaleeee....
Au Slay queen,Nadhani ni musician/model/socialite
Yes Mbongo. I saw her once in Maryland. She was performing at a club. She is very OK [emoji7][emoji7][emoji7]
Kuna mama mmoja DMV inasemekana ndiyo anakulaga - if you can even say that [emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo mambo yaoo ni story za longi sema upepo ndo unapita kwa mitandao ya kijamii bongo.
Dah!Kuna mama mmoja DMV inasemekana ndiyo anakulaga - if you can even say that [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii cinema inatisha, nami nikaona niwatishe kidogo wandugu!View attachment 922588
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeangalia trailer nikajikuta natupa sim kwa mshtuko inatisha
Dunia hii ishashindikana bro...Dah!
Haijakaa poa hata kidogo yani,
Ujazo wote huo wanapeana wap kwa wao?
Ingieni kwenye ndoa mjionee. Nadharia hizi tamu sana masikioni...lakini....Ni wachache mno..Wengi wamebaki kuwa wababe katika mahusiano/ Ndoa.View attachment 922610View attachment 922611
Aseee[emoji3] [emoji3]Hamna mpya ila kuna moja imenisikitisha kuna bwana anaomba ushauri, eti tokea akiwa mdogo amekua akipenda wanaume wenzake na havutiwi kabisa na wadada...