mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Aisee konki konki konki master
Salama bro, hofu kwako.Habari yako kiongozi
Mi namshukuru Mungu, vipi kwenye majukwaa mengine kuna kipya ganiSalama bro, hofu kwako.
Hamna mpya ila kuna moja imenisikitisha kuna bwana anaomba ushauri, eti tokea akiwa mdogo amekua akipenda wanaume wenzake na havutiwi kabisa na wadada...Mi namshukuru Mungu, vipi kwenye majukwaa mengine kuna kipya gani
Why?I thought I was doing the right thing...
Hakika mkuu uko sawa kabisa ndio maana wakasema anaona mbali zaidiInadaiwa kila anavyozidi.kwenda juu zaidi ndivyo anavyoona kwa ufasaha windo lake
Nimekumbuka mbali kweli!!Sikilizeni furaha yangu,Mungu ni pendo anipenda